Search

26 results for Rukia Kiswamba (SJMC) :

  1. Serengeti Girls tunawaamini

    KUELEKEA mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Dunia kati ya timu ya taifa ya Wanawake chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls dhidi ya Japan, wadau wa soka wamesema wana matumaini makubwa kuona timu...

  2. Aisee Mayele huku kadunda!

    FISTON Mayele anatisha kutoka na kasi yake ya kufumania nyavu katika mechi za Ligi Kuu Bara na michuano ya kimataifa, lakini licha ya moto huo kuna mahali amekwama kabisa. Mkali huyo mwenye...

  3. Simba jeuri, yashtua Angola

    SIMBA chini ya Ofisa Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez wamekumbuka yaliyowakuta Namungo nchini Angola, wakawapigia simu Red Arrows ya Zambia fasta halafu wakajiongeza na sasa mipango yao imewashtua...

  4. Nassor Idrissa: Waamuzi nchini bado safari ndefu

    SAFARI ya Azam FC kwenye Ligi Kuu Bara imekuwa ya milima na mabonde kutokana na timu hiyo kupitia nyakati tofauti zinazoacha historia kubwa katika soka. Kuna kipindi ambacho Azam FC imekuwa...

  5. Yanga kuvuta beki mpya

    YANGA imeangusha pointi mbili za kwanza katika Ligi Kuu Bara msimu huu baada ya sare ya 2-2 na Azam FC, japo imeendelea kushikilia rekodi ya kutopoteza mechi 40, lakini mabosi wao kuna kitu...

  6. TFF wamchomoa Saido CAF

    Nyota wa Geita, Mrundi Saido Ntibazonkiza ambaye amesaini mkataba na timu hiyo akitokea Yanga jina lake halijaonekana kwenye wachezaji wa timu hiyo wanaoiwakirisha kimataifa. Shirikisho la Soka...

  7. Nandy ajifungua mtoto wa kike

    Staa wa muziki wa kizazi kipya Faustina Charles Mfinanga maarufu Nandy 'The African princess' amekiri kuuona umuhimu na ugumu wa kukamilisha kuitwa mama baada ya kujifungua katika hospital ya Aga...

  8. Tepsie wa Azam moto uleule Stars

    WINGA machachari wa Azam, Tepsie Evance anayefanya vizuri kwenye Ligi Kuu Bara akiwa na mabao mawili na asisti moja, ameahidi kuendeleza moto uleule akiwa Taifa Stars inayoshuka uwanjani leo...

  9. Stars mambo yameiva

    KIKOSI cha Taifa Stars kinaendelea kujifua kwa ajili ya pambano la kwanza la raundi ya pili ya kuwania Fainali za CHAN 2023, huku kocha mkuu, Kim Poulsen akisema ana matumaini makubwa ya kushinda...

  10. Kapama afunguka kutemwa Simba

    KIUNGO wa Simba, Nassoro Kapama hakuwepo katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika Jumapili asubuhi siku moja baada ya kikosi hicho kutoka kucheza mechi dhidi ya Kagera Sugar na kuibuka na...

Page 1 of 3

Next